PESA-X TANZANIA

UTANGULIZI

Karibu PesaX Tanzania ni Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya mtandao (online) inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa pamoja na kutoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi nchi nzima.

Kupitia tovuti hii tunatoa mikopo kuanzia shilingi 100,000 (Laki moja) hadi shilingi 5,000,000 (Milioni Tano) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.

VIGEZO NA MASHARTI

KUJIUNGA ONLINE

Pesax tumeweka njia rahisi ya kupata mkopo kwani tumempa uhuru kila Mtanzania kujiunga na huduma kwa mapendekezo (hiari) yake kupitia simu au kompyuta akiwa mahali popote na muda wowote akapata mkopo wake ndani ya dakika 30 bila usumbufu wowote ule.

UHAKIKA WA HUDUMA ZETU

Huduma hii ya mkopo ni ya Uhakika, Salama na haraka zaidi. Hatuhusiki na ubadhilifu wa aina yeyote ile kwa wateja wetu, mkopo huu hutolewa ndani ya dakika 30 Punde mara baada ya mteja kuweza kukamilisha taratibu zote (vigezo na masharti).

KWANINI AKIBA?

Kiasi cha akiba ni moja ya kigezo ambacho kitamuwezesha mteja kuweza kupatiwa mkopo, Kiasi hiki cha akiba hutolewa na mteja kabla ya kupatiwa mkopo na kiasi hiki ndio riba ya mkopo atakaochukua mteja kwa kipindi chote cha mkopo.

JE KUNA RIBA?

Ndiyo, kila huduma ya mkopo huwa na riba. Hata hivyo, katika utaratibu wetu, mteja hulipa deni lake kwa urahisi bila usumbufu. Kiasi cha akiba anachoweka kabla ya kupata mkopo ndicho kinachochukuliwa kama riba ya mkopo. Hivyo, mteja atarejesha kiasi alichokopa pekee.

REJESHO LA KILA MWEZI

Rejesho la mkopo kuanzia laki moja na laki mbili ni kuanzia shilingi 25,000 na 40,000.

Rejesho la mkopo kuanzia laki tatu hadi milioni moja ni shilingi 50,000 kwa mwezi na Rejesho la mkopo kuanzia shilingi milioni 2 hadi milioni 5 ni kati ya (100,000 hadi 250,000).

MIKOPO, AKIBA NA REJESHO

Kiasi cha Mkopo (Tsh) Akiba (Tsh) Rejesho la Kila Mwezi (Tsh) Muda (Miezi)
100,000 (Laki Moja)25,00025,0004
200,000 (Laki Mbili)35,00040,0005
300,000 (Laki Tatu)45,00050,0006
400,000 (Laki Nne)55,00050,0008
500,000 (Laki Tano)65,00050,00010
600,000 (Laki Sita)75,00050,00012
700,000 (Laki Saba)85,00050,00014
800,000 (Laki Nane)95,00050,00016
900,000 (Laki Tisa)105,00050,00018
1,000,000 (Milioni Moja)150,00050,00020
2,000,000 (Milioni Mbili)250,000100,00020
3,000,000 (Milioni Tatu)350,000150,00020
4,000,000 (Milioni Nne)450,000200,00020
5,000,000 (Milioni Tano)550,000250,00020

FOMU YA MAOMBI YA MKOPO

Jaza taarifa zako kwa usahihi. Mkopo hutolewa ndani ya dakika 30 endapo vigezo vitazingatiwa.

TAARIFA YA MKOPO:

Chagua kiasi cha mkopo kuona akiba na rejesho la mwezi.